Hahahaha
Kuna watu ambao hawa wezi ku stand peace!
Na ukijishusha kwenye level yao
Wakunyuka with their experience
Fly high like an eagle
Mwache chini agaregare
MAANA THEY HAVE NO CLUE MAANA YA PEACE NA WANA THRIVE KWENYE MAUGOMVI NA MABISHANO NA MITUSI!