Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - 27. 7. 2017

Ndugu Wana habari tumekuiteni ili kupitia kwenu tuweze kuongea na Wanachi kuhusu tukio kubwa la hivi karibuni. Tukio hilo ambalo limetokea usiku wa tarehe 21. 7. 2017, lina mambo matatu makubwa. 1. Kushambuliwa kwa silaha za moto Waumini 10, wa Kiislamu wakiwa ndani ya Msikiti. 2. Kutekwa au kukamatwa Waumini hao wakiwa Msikitini. 3. Kushambuliwa Msikiti wa Masjid “Alimchumo” kwa silaha za moto. 4. Vyombo vya dola kutotowa taarifa rasmi ya tukio hilo kwa zaidi ya siku tano mpaka sasa.

like
 
Can you tell me a little about yourself?
I am da man. Any problem in the company you call da man...

Ukijibu swali hili usieleze historia yako tu. Elezea historia yako inayohusiana na kazi unayoomba huku ukimakinikia sifa za mwombaji zilizotangazwa. Siyo ukazane kuelezea eti napenda kuogelea wakati unaomba kazi ya upishi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…