DiariesVAMPIRE
Post chochoteWeka likes pata likes
HahààaaBwana mmoja na mke wake mazungumzo yao yalikuwa kama ifuatavyo:
Mke: Je miaka 10 na mimi ni kama nini?
Mume: Ni kama sekunde.
Mke: Je dola 1000 kwa ajili yangu ni kama nini?
Mume: Ni kama senti.
Mke: OK, nipe basi senti.
Mume: Subiri kama sekunde hivi.
Mwanangu hapa mix zake za hatari,anachana mpaka anaacha beatJapo bado anaishi amekufa mwili tu roho maneno yake kila siku yanaishi