mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaMtu hufanya ishara nyingi za mikono akiwa anazungumza ukweli,
azungumzae uongo mikono yake hua imetulia zaidi.
Ile mechi ya EPL viph
Mistari carba njoo uone hukuCarbamazepine
CARBAMAZEPINE CARBAMAZEPINE
CARBAMAZEPINE
CARBAMAZEPINE
Binti /mwanamke mrembo sana huyu
Tangia Dunia kuwapo mimi personal sijawai ona bint mzuri kama Huyu
Though anafanana na baba yake
Anajua kujali, anabusara, mstaarabu, japo anapenda umbea kidogo
Anavaaga miwani kwa musio jua
I will never leave yeye
Nikiwaga nae najiona nimpita hadi bill Gate na miela yake
Yeye kunipenda ni zaidi ya KUGUNDUA formula za hesabu
CARBAMAZEPINE what a girl
So watakufa mapema sanaWatu wenye akili ya ubunifu hupata shida sana kupata usingizi,hivyo hupendelea kua macho hadi usiku wa manane.