i keep ma promise
Senior Member
- Feb 8, 2017
- 152
- 489
Sometimes you have to resist the flow - as in usiwe bendera fuata upepo!
Nilikaaa dakika 28 bila post yoyote ya kulikes sasa hapo unasemajeSpidi ishu. Ishu ni likes bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo kweli ni ishu!Nilikaaa dakika 28 bila post yoyote ya kulikes sasa hapo unasemaje
BAK za masikuWakuu wote humu mmesalimika? Naona mnaukimbiza huu uzi kuliko maelezo hongereni sana kwa juhudi zenu.
Kweli hapa nalikeWatarudi Mkuu si unajua tena mambo ya weekend shughuli chungu nzima na kujirusha humo humo.
Tupo GT. Umeadimika siku hizi. Umesimika makazi kwenye lile jukwaa lako kuu nini?Wakuu wote humu mmesalimika? Naona mnaukimbiza huu uzi kuliko maelezo hongereni sana kwa juhudi zenu.
Hahahaa eeHuyu ndiye wanasemaga "ladies and gentlemen"?eee
Hakika,ana moyo wa kuthubutuJipe moyo na jipe matumaini
Pole na uugue poleNaumwa
Teh teh tehMara ghafla Neymar huyoo Carrington na Mourinho
Namuona cocochanel jukwaa la siasa
AsantePole na uugue pole