Jembekilo.....huyo avataar anaechobea hapo kwenye profile ni wewe Mkuu?Niambie mkuu andjul naona umeamka salama
Mkuu heshima yako kuuuubwa mno.Hakika nimeamka salama, pata kwanza like mengine baadae. Ila ili u-like-we anza ulipoishia ku-like. Good morning brotherNiambie mkuu andjul naona umeamka salama
Umelala poa!???? Au ulikuwa unawaza likes!!?? Hahahahamorning love
Tupoo...karibu tena[emoji4]Mpoo
Mkuu kwema?Kazi imeanza sasa.
Haya mwendo wa Gonga ugongwe
[emoji106] Heshima yako MkuuHaaaa haaaa haaaa asante Kwa kunipa cheo mkuu salthanks
Mi mzima best yangu. Baki huku hukuThe best friend of mine. Mzima mama? Mwenzio nimejificha huku, kule hakuvumiliki
Na wewe kula like kwa ushauri wakoMkuu tangu jana umeng'ang'ania, toa neno "si" ili ionekane haumlazimishi. Good morning mmary
Like+kikumbo hafifu[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Leo hata boss akikufokea mpe like tuu
Mzima kabisa, mbona uliadimika nikakusaka sikukupataMzima wewe?
Mimi naona wewe ni jembetani kilo umepita Aka NABII wa likeNiambie mkuu andjul naona umeamka salama