Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MBUZI AZAA BINADAMU MKOANI KATAVI

Maajabu ya mwaka yatokea huko mkoani Katavi katika wilaya ya mpanda mbuzi ajifungua Mtoto binadamu na kushangaza wengi.

Wapo wanaoamini kuwa hali hiyo ni ushirikina na wengine kuamini huenda ndio mwisho wa dunia.

Patric sanga mmiliki wa mbuzi huyo amesema yeye haelewi chochote na hana mpango tena na mbuzi huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…