Hizo za kubaka wanyama nimezisikia sana...kinachonifanya nishangae ni hicho kilichozaliwa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kisayansi haiwezekani. Ama ni uwongo au ni ile sayansi yetu ya Kiafrika!Mmh kwamba huyo mbuzi alibakwa au??nashindwa hata kuelewa...inawezekanaje hii kitu??
Unakimbia na hurudi tena...ila kama ni ile sayansi ya afrika daahHatar mtu unaweza kimbia nyumba yako kwa mambo hayo
Ulibashiri kuhusu ishu ya mjomba. Unamjua bwn mdogo vizuri sana!Njoo kwanza achana na mjomba
jaribu kusearch "caitlyn Jenner" utamuona...Yupo sana insta,jina nimesahau kidogo anajianika vya kutosha. Na kwenye kipind chao anaonekana na magaun na viatu vireeefuu
Hata sijui kwakweli labda ni ile sayansi ya muafrikaKisayansi haiwezekani. Ama ni uwongo au ni ile sayansi yetu ya Kiafrika!