Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Yaani sijui nikoje nina ujinga wa kupenda sehemu Moja Tu yaani sijui nikoje mi nikipenda ndo hapo hapoDogo,mapenzi umeyawekea formula kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chepuka upate akili...
Kwa ukorofi na kidomodomo chako lazima utakuwa umetumia hivi vitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]mawe eeeh
Umenikumbusha mbali [emoji23][emoji23][emoji23]
Babe,karibu...tunakumiss piaNawamiss mie...
Acha kunitisha shemeji...Siyo za kwenye kideo. Naziendea gym kabisa tena na walimu wazuri tu. Sparring sessions kali ukizubaa unakuwa knocked out. Fimbo nilifundishwa na babu wakati wa kuchunga ng'ombe na bado sijasahau. Mbio ntakukamata tu...
Moral of the story: Mtunze vizuri dadangu and never raise your hand on her!
Be the first to reply!
[emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa,wenyewe tulikua tunaita maandazi ya Mungu[emoji23][emoji23][emoji23]utoto raha kweliKwa ukorofi na kidomodomo chako lazima utakuwa umetumia hivi vitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Achepuke apate akili? Usimdanganye...Dogo,mapenzi umeyawekea formula kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chepuka upate akili...
Nsamaka anahusikaje hapo??Weeeee ushindwe na ulegeee[emoji23][emoji23][emoji23]achepukie wap?kwa nsamaka au?
Si unataka achepuke me nimemtafutia chepuko[emoji23][emoji23]inauma eehNsamaka anahusikaje hapo??
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] SYB nikopeshe ng'ombe watano
Ujumbe umeshafika. Na zile ng'ombe 15 tunaziijia sasa. U mtu mwema kwa kweli!Acha kunitisha shemeji...
Kwema kabisa......hahahah mpare yupo, ngoja nimwamshe...Bageshi kwema? Mpare yuko wapi. Hajaonekana hapa tangu juzi alipochimba mkwara fulani hivi. Fanya juhudi umrudishe hapa please
Cole anatakiwa aende chuo[emoji23][emoji23][emoji23]carba ni.....hebu muache Cole wangu
Niaje mamaWazima humu!?