mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yeah...wenye wivu wajinyonge love u babeBabe S mm Sina muda na CONSPIRACY kabisa muda nilionao ni kumpa upendo wa dhati my woman carbamazepine
Mimi nn we Mzee bhanaWewe je?
HahahaLionel Messi la purga anaipatia Barcelona goli la kwanza,akipokea pasi safi kutoka kwa sergio busquets,
Real madrid 0-1 Barcelona
Dk ya 3
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee muda wako wakuja clinic umekaribia njoo niangalie tezi dume
Nimemiss vijembe na mikwara yake...KK popote ulipo njoo utusalimie basi[emoji22][emoji22]Kk msanii sana
Genius wa mpira huyuMuhandisi Iniesta anachezea mpira anavyotaka hapa
Hahahahaha kupimwa mkojo tenaHawa miamba ya soka usipo waangalia unafanya kosa la jinai,itabidi ukapimwe mkojo
CONSPIRACY tu hizo babe S hata usipate tabu kama wanao Amini hitler alikimbilia argentina na kufia hukoHahahaha.......haya....mi nilikua nampa salam tu Cole... I hope zimemfikia maana...[emoji12]
Nitaangalia na mimiUkirudi nyuma ya uzi huu uwangalie comment yako ya kwanza na tarehe,
Really interesting walahi!
Yangu ilikuwa number 1033
6/16/2017
Nilipata likes 6
Magnificent really!
jumapili salama kabisaa... Imeanza poa and hope itaisha poa piaa..Morning elly...habari ya jumapili