Achana nayeWewe sio Mwenye Enzi Mkuu kumwambia mwenzako ana mapepo
Usitazame kibanzi kwenye jicho la mwenzako ..............
AMUN RAKwa kumalizia na sitaki comments zako tens kasome Mhubiri sura ya kwanza mpka nane utapata majibu
Uwe na Siku njema
Siku ya Jua SUN DAY
[emoji115] [emoji111]Kwakweli nimewamis sana, nilikuwa busy kidogo ila leo km kawa mahudhurio yangu lazima yawe mazuri
Poa poa mkuu Jumapili inakwendajeYes mzee wa liver
CLEVERKINGBarcelona TIKITAKA implemented by JOHAN CRUYFF when he was a team manager 1988-1996 kabla ya kumuachia team Louis van Gaal na Frank rijkaard and has been adopted by other la liga team.
Unaweza ukawa una viungo vyote halafu huna hela na kuna mwingine hana hela na viungo pia
Indeed ni masaa Matatu nagonga likes from 11hrs ago mpka sasa nipo 1 hr agoTusipoteze lengo la hii thread,
TOA LIKES UPATE LIKES.