Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Yaani we acha tuMara nying nimekuwa namkumbusha humu
Chuki hatukuzaliwa Nayo umeipata hapa duniani ukiwa mkubwa so kuiacha pia unaweza sasa mtu asomi hizi content Ana Jaa upepo tu.
Hahahahaha dahWekundu Manchester United
Mzee wa liver uko vizuriIndeed ni masaa Matatu nagonga likes from 11hrs ago mpka sasa nipo 1 hr ago
Maneno ya kuzingatiaUsilete shida zako kwenye posti za wenzako!!
Ujumbe mzuri sana kwa LeoSamaki aliyefunga mdomo wake hawezi kunaswa na ndoano ya mvuvi,
Jifunze kufunga mdomo unapokua katikati ya wabaya wako.
Busara zako naziona mkuu. Safi sana!Usilete shida zako kwenye posti za wenzako!!
Hee aiseeePoa mzee waliver mwenzangu
Tupo kwenye malikePoa mzee waliver mwenzangu