Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WAPENZI WAWILI BAADA YA KUTOKA GESTI

JAMAA; "Daaah siamini kama leo Umenipa penzi lako maana nilikuwa nasikia wewe ni MGUMU sana kutoa penzi"

DEMU; "Ndio nilikuwa MGUMU lakini baada ya kupata UKIMWI nikaona haina haja ya kuwa mgumu tena..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…