mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hapana wacha nimuulize shimba ya kama ng'ombe zimefikaHasira haina nafasi kwa sasa,muhimu nimesha mpa kakaako ng'ombe 15 nilio kuwa nadaiwa.Kuanzia sasa ni full kujiachia,yaani nikufyatua kwa kwenda mbereee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nambie Cole WilliamBob12
Na huyo mwingine hata kaa atokee ni mimi na wewe tu nafasi ya mwingine haipooo[emoji9][emoji9][emoji9]Mwambie moyoni mwako nipo mm tu hakuna mwingine
Hapana wacha nimuulize shimba ya kama ng'ombe zimefikaHasira haina nafasi kwa sasa,muhimu nimesha mpa kakaako ng'ombe 15 nilio kuwa nadaiwa.Kuanzia sasa ni full kujiachia,yaani nikufyatua kwa kwenda mbereee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mpenzi ameumia Roho jamani!Mzee wa ini vipi tena?vitu vingine acha viende si kujibishana hivi...kukaa kimya ni jibu nalo
Hapana wacha nimuulize shimba ya kama ng'ombe zimefikaHasira haina nafasi kwa sasa,muhimu nimesha mpa kakaako ng'ombe 15 nilio kuwa nadaiwa.Kuanzia sasa ni full kujiachia,yaani nikufyatua kwa kwenda mbereee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilishawahi isikiza kwa lazima but at the end nikatokea kuipenda nyimbo zake zilikua ni nzur sanaAlbum ya mwisho inaitwa Respect
Bonge la album
Humo utakutana na monster,the one,shut up,respect.
Acha kabisa
2Pac nationNa wanakufa mapema mno
Best melodyNilishawahi isikiza kwa lazima but at the end nikatokea kuipenda nyimbo zake zilikua ni nzur sana
Nimeona ndio mana nikawa namsihi aache malumbano yasio na maana cha msingi ni kukaa kimya na kupuuzaMpenzi ameumia Roho jamani!
Mzee wa liver ni soulmate wangu!
Jamani!
Pia mimi nimemsii asijibishane na mgonjwa!
Ohhh my poor honey pie!