Kabisa hali ni nzuriThread statistics: 22:39, 30/07/2017.
215k replies
21.5k pages.
Hali inaridhisha
Nini tena carbaMoyo wangu hauna uwezo tena
Mbona alisema ameshalipaAndjul toa ng'ombe 15 waliobakia...
Asante shemeji uwe na jumatatu yenye barakaShemeji yangu Carba. Nakuombea J'3 njema.
HahahahahaMimi niliona kofia tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi mbayaaaa!!!
Aisee huyu andjul huyu[emoji23][emoji23][emoji23]kweli we mbaya...hata kivuli sijaona daah
Nipo mkuu
IndeedOld is gold?
HahahahahaKwa nini uniq anitaje mimi? Yeye na mamaake ndio walimtapeli hela yule mzee.mzee wa liver naamini hawezi maana ndiye aliye mtibu ububu wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa hofu yake niniAliyeanzisha kampeni ya "Magufuli baki" akimbilia TCRA na kuomba mawasiliano yake ya simu yachunguzwe kubaini wanaomsengenya mtandaoni
Asantee babe[emoji8] [emoji8] [emoji8] ILYSM.Jakitoo daktari wa mtima wangu. Neema za Mola na upendo wa Bwana vikakumulike leo ewe binti maridadi. U mwanamke imara na jasiri sana. Nakuombea kwa Mungu Azidi kukuimarisha tena na tena. Yu a lavudi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]