hahahahhhh*Mzee mmoja aliagizwa sidiria na mke wake, alipofika dukani akawa amesahau size gani. Mama muuzaji akamwambia: "Usijali, njoo unishike matiti yangu ulinganishe na hayo ya wife wako labda utakumbuka ukubwa wa sidiria ulioagizwa, "Mzee kuona hivyo akasema: "Niliagizwa na chupi!"*
Mkuu naona Kazi yako mida wanga
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125]Wadau nashukuru sana kwa maombi yenu na msaada wenu wa hali na mali
Nimefanikiwa kupata mchumba
Natarajia kuingia wiki hii ofcoz mchumba una madirisha makubwa na mlango mzuri shukran ziende kwa dalali