Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ilikuwa day 2 nafikiriHahahaha
YupIlikuwa day 2 nafikiri
Nyongeza tena??? nsamaka hii ni ndoa au biashara? Mbona unajipandisha thamani mwenyewe? Tafadhali mama,go down... Hebu tuyajenge[emoji15] [emoji15] [emoji15]Tena mwambie kbs kesho unaenda kumalizia na.nyongeza ya kuku 20. Hapana chezeiya weye kabisa. Halafu mwambie akae mbali na ww, nafasi zimeshajaa
If you are fine then am super fine my love, my life Depends on youAm having a wonderful day kwakweli japo bado niko kwa job...sijui siku yako imeendaje kipenzi
Amekulia pwani na anaishi pwani,ana maneno mengi ya kwenye kanga.Achana naye[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maana kuna vimaneno vyake humu huwa sivielewi kbs.
Kwsbb naona Carba anakunyemelea sasa hadi nakosa uvumilivu.Nyongeza tena??? nsamaka hii ni ndoa au biashara? Mbona unajipandisha thamani mwenyewe? Tafadhali mama,go down... Hebu tuyajenge[emoji15] [emoji15] [emoji15]