Good,haya mtoto anaendeleaje?Loh! Hayo mengine ni yetu. We mwambie tu umemaliza na hutaki maswali. Akiwa na swali anione mm msaidizi wako.
Eti umesema? Walah umebakiza mara moja tu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] hata sijui nilitaka nimaanishe nini? Wewe ukikumbuka jazilizia tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaona ulivyotekwa na carba, unasahau hata kuuliza hali ya mtoto.Good,haya mtoto anaendeleaje?
Mara moja tu???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mama achana na hizo,tujenge maisha mama,hao wengine acha wapite tuEti umesema? Walah umebakiza mara moja tu
Eeeh mara moja tu, ukirudia itakula pande yako.Mara moja tu???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mama achana na hizo,tujenge maisha mama,hao wengine acha wapite tu