Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mambo ya safari yanachangamoto zake,lakini nazishinda,baadae akimaliza home work niongee nae,anipe ubuyu ni anko yupi atakuwa amekuja hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaona ulivyotekwa na carba, unasahau hata kuuliza hali ya mtoto.
Visasi sio tiba mama,mimi sio pencil kusema nitachongwa mpaka niishe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila sipo tayari kutumika na wengine,au unasemaje???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeeh mara moja tu, ukirudia itakula pande yako.
Mpenzi wangu carbamazepine Ana nafasi moja tu ndani ya Moyo wake nayo hiyo nafasi ni mm coleAisee mwambie Carba akae mbali na andjul, sitaki ugomvi na mtu mm.