Basi kaa mbali na Carba, acha mazoea nae.Visasi sio tiba mama,mimi sio pencil kusema nitachongwa mpaka niishe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila sipo tayari kutumika na wengine,au unasemaje???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahha dahMambo ya safari yanachangamoto zake,lakini nazishinda,baadae akimaliza home work niongee nae,anipe ubuyu ni anko yupi atakuwa amekuja hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee usijiaminishe hivyo, we muonye tu. Mm sitaki shida na mtu.Mpenzi wangu carbamazepine Ana nafasi moja tu ndani ya Moyo wake nayo hiyo nafasi ni mm cole
So whatever unachosikia ni CONSPIRACY tu