Niko poa. Bado tupo tunaendelea kujaza na kujazwaMzima mrembo
Uko poa
Ooh [emoji1] [emoji1]Niko poa. Bado tupo tunaendelea kujaza na kujazwa
Chukua moja hakuna uchoyo humujamani na miye naomba
Ooohh utanipa buku baxMwenye Enzi Mungu atanifundisha jinsi ya kupata utajiri
Yaani nakula tu! Ndugu yangu! FursaWewe ISIS unaenda kula kweli!
Hahahahahahahahahaaaaa nimeshuhudia kupatwa kwa jua maishani mwangu ila kwenye thread hii nashuhudia kupatwa kwa
kitufe cha like