mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hao wenye maduka waambie walipe kodi ili wafanye biashara zao kwa ufanisiUku mtaani tra wanafunga maduka ya watu na makofuli ya ajabu. ..daah rd bongo baati mbayaaaa. ...
Sent using Jamii Forums mobile app