mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji106][emoji106][emoji106]Ndio furaha
Nipo. Ila naona tu kama vile umenitupa siku hizi. Nahisi kuna kaumbali hivi nakaona sis. Kuna wakati huwa nazidisha sana matani. Kama kuna lolote niambie nijirekebishe. Kususiwa na malkia, maweeeeeeee !!!!Gr8 my brother!
Niambie!
HahahahahaMagufuli kabana watu hawana ela ya kununua bando. [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana lakini unatafanikiwa tuMaish haya jamani yananisababisha naadimika humu ndani
Tupo poaIsis na mzee wa liver hamjambo