Usiku mwema na kwako pia mwanaume wa darNawatakia usiku mwema
Vijana wanapotea sana hapo madawa yanampoteza hiyo syringe atakuja mwingine kutumia risk ya ukimwi inaongezeka,daah inasikitisha kwakweli
Pole kwa uchovu wa safari...karibu tanzaniaNawashukuru kwa kujali,nimefika salama kabisa.Mungu awabariki sana
Ndio maisha waliyoyachagua.Vijana wanapotea sana hapo madawa yanampoteza hiyo syringe atakuja mwingine kutumia risk ya ukimwi inaongezeka,daah inasikitisha kwakweli
Umepewa kibali shemeji?au unamchokoza king wa masaki[emoji23][emoji23][emoji23]
I miss this dude kwakweli
Wakisha pata likes hapa wanaenda kuanzisha uzi mtaa wa pili kutusema,watu bhanaSYB umeona..wanatojea jukwaa jingine wanaposti nyingi wanasepa..wanajua watapewa likes tu
KK rudi huku..I miss this dude kwakweli
Ni shida. Kule Canada wanagawiwa sindano mpya kila siku.Vijana wanapotea sana hapo madawa yanampoteza hiyo syringe atakuja mwingine kutumia risk ya ukimwi inaongezeka,daah inasikitisha kwakweli