Shetani kamuuliza yesu; vipi mbona hurudi, si ulisema utarudi tena duniani?
YESU akajibu nasubiri huyu anaesoma sms atubu dhambi zake.
Shetani: aaah! Huyu wangu tu, wewe ulileta biblia mimi nikaleta simu. Ona anavyosoma hii sms kwa umakini! Yuko busy, ona anaendelea tu ona! kashika biblia au simu? toka asubuhi hajagusa biblia yako ni simu tu. Kwa mwaka anaweka vocha (unités. Airtime) nyingi kuliko zaka na sadaka! sasa mshindi ni nani? HEBU SOMA BIBLIA NA ACHA KUWA BUSY SANA NA SIMU ILI YESU AJE HARAKA
Sent using
Jamii Forums mobile app