We are gr8 kwa kweliPeople are you ok
Hebu nipe mfano wa hiyo working smart yako kwa mazingira ya hapa Bongo mpaka nchi ijikwamue...Working smart sio upigaji....
Asalaam alyekum
Well saidLetts join hands together
Gnako Warawara,Lord Eyes,Fundi Samwel.Nako to nako
AsanteKaribuni tufturu
Sijui. Ngoja nimtafute mkutubi mkuu nimuulize. Nisubiri hapo hapo usiondoke. Ila kula like kwanza...[emoji23][emoji23][emoji23]Hata yenyewe si inalipiwa mkuu au?
Hiyo mkuuNaona watu wamenichunia hapa, hata notification sizioni
Hata kwangu notifications hakuna lakini sijali. Nakula likes na kugawa likes kama sina akili nzuri...Naona watu wamenichunia hapa, hata notification sizioni