Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Heshima kwa wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
Baraka
Siri ya baraka zote
Ndiyo maana mzungu anamthamini mwanamke!
Angalia ni mataifa gani yanayo mdharau mwanamke na wako wapi!
Mwenye macho aambiwi tazama!
Wanawake ukiwadhalilisha ni kujitafutia balaa
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
MIFANO IPO MBELE YETU KILA SIKU!
MAULANA RABUKA MOLA WETU ATUFUNGULIE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…