Dadangu kazi unayo.Andjul baby, mis you
Sio vizuri ujue[emoji23][emoji23]Tusiseme mengi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Teh teh teh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nan nimuite mjomba??
Salama mkuu..Mimi weekend ndio nakuwa bize zaidi! Ndio siku za kuwa nje ya mji...lakini shwari kabisaKwema mkuu? Majukumu leo yalikuzidi nini?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]jamani !!!!!Huyo hapaswi kuitikiwa hivyo huyo inamfaa "nini"
Werevaa amekosea sana kuingilia yasiyomhusu. Hasa ukizingatia hana undugu wala ushost wa karibu na uwoyaNaona mpambano umefikia penyewe...ila huyu tecno werevaa habari ya ndiku na mkewe zinamuhusu nini?kama si umbea tu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] enheeee....Mzee wa ini akiwa masaki anakuwa kama pilitoni
Alikuwa ananikaribisha mtu hamna chochoteCole umewaonaa ???
Eti mimi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nan nimuite mjomba??
Kaka lkn huyu ndio shemeji yakoDadangu kazi unayo.
Toka hukooo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani umewaza wapi jamani
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Muite mara ya mwisho mwisho basi and[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kujipendekeza tu hana jingine...ugomvi wa watu waliowahi lala kitanda kimoja na wamezaa si wakuingiliaWerevaa amekosea sana kuingilia yasiyomhusu. Hasa ukizingatia hana undugu wala ushost wa karibu na uwoya
Shangaa na ww, acha ale vichambo tu nae. Kujifanya kuingilia ya watu as if yanamhusu.Werevaa amekosea sana kuingilia yasiyomhusu. Hasa ukizingatia hana undugu wala ushost wa karibu na uwoya