Mara nyingi asubuhi panakuwa pametuia hivyo ratiba hata za nini ufanye siku hiyo inakuwa ni rahisi kuweza kuzitekeleza na kuweza kufika mbali kimafanikio.
Walifafanua kuwa pia kutembea ni tiba ya mifupa, unapopishanisha miguu kwa dakika 20 unaimarisha mifupa yako na kukuepusha kupata matatizo ya miguu na kuimarisha misuli.
Mtaalamu wa Chuo Kikuu cha Cambridge, Profesa Ulf Ekelund anasema, hili ni jawabu jepesi hata kwa wale wasiopenda kufanya mazoezi kwani huimarisha mwili na kuufanya uwe huru na wenye nguvu wakati wote.