Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Golden Gate Bridge San Francisco. Been there...Human ingenuity...Miaka ya karibuni hapo katikati jamaa walipafanya best place kwa ku-commit suicide. Watu wanafunga safari kutoka Japan huko kuja hapo kujirusha wafe. Mpaka ikabidi waweke neti za kuzuia. Mama mmoja Mkristo naye akajitolea kukaa hapo wakija anawahubiria kuhusu upendo wa Mungu wengi wanaishia kumkumbatia wanalia halafu wanaghairi. Hata akiondoka anaacha copy ya Biblia hapo na pamphlets zinazosema "God loves you. Don't take your life" ndo kidogo mambo yakapoa. Baadaye polisi nao wakaweka doria pale ndo soo ikapungua japo hata sasa mara moja moja watu wanajirusha bado...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…