Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu kuna haja,maana nimeambia nitafute kuku wa Singida wale wenye miili midogo ndio wazuri kwa utagaji wa mayai.Lakini sijazijua changamoto zake kwa hali ya Dar
Mkuu mimi na fuga kuku huku wanawaita Kuchi japo sio jina lake la kiasili wana itwa Asil or Malay. Nikuku wazuri sana na hawafiovyo na magonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…