Ndio unipe like sasaa.ewaaa nimekupata hapa
Usije ukapitiliza na muda wa futari tuManeno yameniishia.!
subiri wakianza kugawa ntakupa 1mil bureBARRICK WAMESEMA WATATULIPA KIASI CHOTE WALICHOTUIBIA KWENYE MIGODI KIASI CHA Tsh Trillion 108.
Na kuna tetesi zikipatikana zitagaiwa sawa kwa Raia Watanzania wote million 50.
Hapo kila Mtanzania atapata Million 2..
Ila mimi kama Kuna mtu yupo tayari anikopeshe saiv milioni 1 na nusu tu, alafu mgao wangu wa hio milioni 2 ukitoka atachukua yeye yote.
Ni usambaraMountain Kilimanjaro