myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hongera Numbisa kwa 250k[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji322] [emoji322] [emoji322]DAWA YA USINGIZI
Mbegu za maboga zimegundulika pia kuwa na kirutubisho kinachozalisha homoni za usingizi. Ulaji wa mbegu za maboga saa chache kabla ya kupanda kitandani, hasa ukila pamoja na tunda lolote, kunasaidia kupata usingizi mzuri mwororo.
Hongera sana[emoji122][emoji122][emoji122]Waaaowww am winnerrr