Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Niliwauliza humu Mkuu "Hochi minh" kapotelea wapi? Simuoni humu na alikua ni mmoja wa member maarufu humu!!
Hili swali aulizwe Uniq. Walikuwa wanagombea binti mmoja mrembo sana wa Kisukuma humu. Ulikuwa mchuano mkali sana na mmojawao akamtishia mwenzake kuwa atampoteza mazima...na kweli Ho Chi Minh disappeared mpaka leo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…