The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Kwani umeona kuna mtu humu kafa kwa njaa kwa kutokula? 😀😀Humu watu mko so speed sidhani kama wengine mnakula hata kula aisee wengine mukapumzike.
Unaacha net kitanda kinakuwa kama kiota[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani kuna mtu kasikiaUsiniulize we faham nakurupuka kama njiwa. [emoji23] [emoji23]
21:498:22
AMUN RA
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]habari ya muda huuHumu watu mko so speed si dhani kama wengine mnakula hata kula aisee wengine mukapumzike.
Well said9. “Greatness is not achieved by never falling but by rising each time we fall.” – Confucius
-Mafanikio makubwa hayafikiwi kwa kutokuanguka/kushindwa, bali ni kusimama kila tuangukapo
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]Mambo mrembo.
IDD Amin Dada1.Aliwahi kuwa bingwa wa ndondi wa uzito wa juu nchini Uganda mwaka 1960-1961
2.alijichagua kuwa Raisi wa Uganda kwa mapinduzi ya kijeshi, na waganda wengi walimchukulia kuwa ni shujaa kwa kumuondoa raisi walieona “anasuasua” Milton Obote mwaka 1971.
The way it is
Hahahahaha jamaa alikuwa kichaaa kweli6.Inasemekana alimtumia malkia wa uingereza Elizibeth II barua za kimapenzi akimuomba amuoe ili aweze kujiita mfalme kwani alikuwa ameshajipa vyeo vyote kasoro “King” Yaani mfalme.