Kwa niniSijawahi kuwa na usiku mrefu kama leo
Asante sana ila kwa ufafanuzi tu ulikuwa mrefu kwa huzuni,mana hamchelewi[emoji23][emoji23][emoji23]Ikiwa usiku ulikuwa mrefu kwako kwa furaha, hongera. lakini ikiwa usiku wako ulikuwa mrefu kwa karaha, pole, pole sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa wengine ni wagonjwaTunapopata bahati ya kuamka asubuhi ni kumshukuru Mungu kwakweli kuna watu hawapati hizo bahati
AminaTumshukuru Mungu kwakuiona siku ya leo
Amen
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njoo tu
Mambo mambo tu yani acha tuKwa nini
Aisee watu wana akili mbovu