Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha
Hawa kunguru walahi they are totally nuisance!
Hahahaha
Waliletwa kwa lengo maalum au ni wenyewe tu walikimbia joto na jangwa huko Pakistani?

Invasive species ni shida. Florida kule waliwahi kuleta machatu kutoka Asia (Burmese Pythons) eti yawasaidie kuangamiza panya. Yalipomaliza panya yakaanza sungura, samaki, nyoka wengine na kila kitu kinachojongea. Yaani ni environmental crisis balaa. Leo hii ukiliua limoja unanyaka mpaka dola 200 kutegemea na ukubwa wake. Hillbillies wanatoka huko Alabama kuja kupiga pesa kwa kukamata haya majoka japo nao wakizubaa yanawabana mbavu na kutaka kuwageuza menu !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…