cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
HahahahaUsinikondeshe na kiinglishi chako[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji12][emoji12][emoji12]We subiri tu kazi unayo
Du Fanya mpango wa hata kuwarudisha kwenye cage yaoExactly!
Kwenye garden kuna Mkungu Mkubwa sana afu kuna parrots ambao wametoroka kwenye cage ya mtu!
Hivyo parrots wameamua kufanya makao yao juu ya huo mti!
Yaani! Ni kunguru inawavizia kila mara!
Shuwine zao makunguru!
Sijui nini huko nyuma sijui hata mimi sijui.Fuatilia mwenyewe nisije onekana mbea bureKaaribu nini tena
Acha nikatafute godoro langu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]