Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Mungu Ni Wa Kwetu Sote[emoji120] [emoji120] ahsante.Kumekucha,na baraka kutoka kwa Baba aliye hai zipo nasi...
Amina[emoji120]Shukrani sana Mkuu [emoji1431][emoji1431][emoji106]
Poa basi ndugu yangu tuko pamojaSalama kabisa
Mungu Ni Mwema Mkuu Namshukuru Kwa Neema Zake Nyingi AtupazoTumshukuru Mungu kwa upendo wake.Mkuu kwema?
Kariakoo ulitoka saa ngapi?hata hivyo asante mzigo wa maparachichi nimeuona japo nimesikitika[emoji22][emoji22][emoji22]Nani kakuambia nipo huko unako taja? Nipo Ilala boma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amen
Amina[emoji23][emoji23][emoji23]Mungu ibariki Tanzania..!
Ah ah aha ah ahKariakoo ulitoka saa ngapi?hata hivyo asante mzigo wa maparachichi nimeuona japo nimesikitika[emoji22][emoji22][emoji22]
Leta location basi tuje kata keki[emoji13][emoji13]
keep calm, its my birthday
Cake wapi sasaThank you dear
keep calm, its my birthday