Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inaelezwa kuwa wengi wanaokumbwa na saratani hii hawafiki hospitali mapema na mara nyingi huwa wamechelewa matibabu.

Ufahamu kuhusu saratani ya matiti kwa wanawake vijijini:

Utafiti uliofanywa Mkoa wa Kilimanjaro, Kata ya Kiraracha, Moshi Vijijini na Dk Guddila Valentine, unaonyesha kuwa wengi hawakuwa na ufahamu kuhusu saratani ya matiti. Ilibainika kuwa dhana potofu zimewazingira wanawake wengi ambapo wengi wanadhani saratani ya matiti haitibiki na baadhi wanasema ni lazima ufe upatapo saratani hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…