Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Steroids ni hatari. Moyo unakuwa mkubwa, kichwa kinakuwa bichwa, muhogo unakuwa kibamia, utoaji wa mbegu (zenye afya) ni shida, hasira za kupitiliza, mood swings and the list goes on and on. Na wengi wao hufa mapema ama kwa heart attacks, suicide na mambo mengine ya ajabu ajabu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…