Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama kuna kitu sitamani kuona ni kuondoka kwa couthino liver kipindi hiki
Duhh!! Mzee wa liver kama ulikuwa unatumia kimea badilisha,kipindi hiki utapata hasara maana utakuwa haulewi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jibapa baba ndio inaendana na timu kama Man u,Arsenal, Liverpool(msini rarue bure mpira niliacha kuangalia vile Andy Cole ameondoka Man u)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…