Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Ebu Tushindane Kutaja MatundaToa likes Pata likes
Mpaka alale yeye na mimi ndio nalala
Mkuu kwema?
Ho Chi Minh jamani kaonekana. Mwana mpotevu huyu... Karibu sana mkuu.
Nimeipenda hii bro. Safi sana !!!Mpaka alale yeye na mimi ndio nalala
Mkuu we mgeni kwani humu
Mkuu tumeandama hadi tukaingiwa na hofu ya Ikwiriri.Karibu sana
Ebana powa sana karibu