Siblings na hasa dada zangu wao huwa wanakuja tu wanakata hata miezi mitatu mpaka wanachoka wanarudi makwao. Nami huwa nafurahia kufuliwa nguo, kupikiwa vyakula vya utotoni na perks zinginezo. La familia...Mmh mgeni siku tatu,huyo wa kukaa wiki moja kahamia kabisa hapo
Divine love!Siblings na hasa dada zangu wao huwa wanakuja tu wanakata hata miezi mitatu mpaka wanachoka wanarudi makwao. Nami huwa nafurahia kufuliwa nguo, kupikiwa vyakula vya utotoni na perks zinginezo. La familia...
NopeNi Chifu Marealle ama?
Amin nafikiri ikifika kesho nitakuwa nimepata kujua juu ya hali yakeMungu Amponye na naamini utapata habari nzuri juu yake. Tuendelee kumuombea!