Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zimbabwe Roma

Intro]
Wengi mlijiuliza walioniteka ni maaskari?
Mkanitafuta vituo vyote Cetral hadi sitaki shari,
Wakasema hawajui nilipo mama alienda mpaka monjwari,
Daaah!,yakaisari mwachie kaisari,
Machozi yenu yatalipwa mimi nafunga na kusali

[Bridge]
Imba roma Imbaaa
Imba roma Imbaaa,
Imba roma Imbaaa,

[Verse 1]
Mungu wa paul ndio mungu wadaudi,
Na ndio mungo wa John Mnaemuita Yohana wa wayahudi,
Mwanangu alimuuliza mama “Baba lini atarudi”?,
Na mke wangu aliwaliza kuwashukuru sinabudi,
Kwa hamu ya kuwa mimi sio tu rapper,
Mimi ni baba wa Familia,
Nawatoto mahitaji nawapa kama isemavyo biblia,
Kipi bora?Nife mseme nilikufa kiharakati?,
Siogopi kufa ila nawaachaje wanaobaki?,
Je! Nani kati yenu mwanangu atampa malezi?,
wapi atapata mahitaji?,wapi atapata mapenzi?,
Mama nae wapi atapata mahitaji na malezi?,
Na report ya upelelezi vipi akiiteka mtekaji?,
Je! Kaburi langu mtalipalilia majani,
Nimeumwa hamjakuja kuniona,mnangoja mje msibani?,
Nilipokuwepo sikuwa najua hii sanne,hii saanane,
Nilichohitaji nitoke mzima na ndugu zangu tuonane,
Nimechapwa Mijeledi nimevunjwa bila huruma,
Asante mliopaza sauti nimeiona nguvu ya umma,
Sikutatu nimefungwa macho,mikono imefungwa nyuma,

Chorus/Hook
Nakwendaaa Zimbabwe(Zimbombo Iyelele mama we),
Nakwendaaa Zimbabwe(Zimbombo Iyelele mama we),
Nakwendaaa Zimbabwe(Zimbombo Iyelele mama we),
Nakwendaaa Zimbabwe(Zimbombo Iyelele mama we),

[Bridge]
Imba roma Imbaaa,
Oo,Eee mama(sema baba wewe)

Verse 2
Nasimama nanaunga hoja kwenye uchumi wa Viwanda,
Nanasi linauza msoga,tikiti linaoza shamba,
Walioniteka hawakuja na noah,Ni uvumi na visanga,
ila kutekanateka huu ni uhuni wa kishamba,
Weka Bunduki chini si tubishane kwa hoja,
Maana sote lengo letu kuijenga Tanzania moja,
Mi-sikuona nyota kwa shoulder,Ila najua wewe ni soldier,
(Inshallah)Ulikuja mwenyewe ama ulipewa order(hewallah),
Lyrics by skiizat
Aminini siku hazigandi,wewe ni yanga mimi simba,
Kwa mpinzani sio dhambi,
Ipo siku mtawala atakuwa mpinzani,
Simba akichukua kombe sijui atapona nani,
Na kuna mbunge alisema eti nimemtukana mkuu,
Utahukumiwa na mkono wa Mungu,kumshtakia aliye juu,
Kwanza lini,na kwanini mimi nimtukane mjomba,
Umepewa gari ya wagonjwa,mi Tanga wananijalia bomba,
Mimi mbarikiwa na nikifa nitaketi kuume kwa baba,
na ni mtu wa watu that is why,lilisimama bunge la bajeti,
Kunijadili mtanzania kuwa makini pia makinikia nayatungia,
Mapini Piyaa,
Nilitabiri utaitwa Raisi kipindi unaitwa waziri,
Japo maisha sio rahisi japo pongezi unastahili,
waliosadiki roma ataonekana kabla ya jumapili,
God bless imetimia injili nilio itabiri,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…