Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Na unamwachia tu hivyo kirahisi? Pambana naye hapo hapo nyumbani kwa kusoma neno na kusali kisha jioni jioni nenda katika hospitali iliyo karibu hapo ukasalimie na kufariji wagonjwa...Leo siendi kanisani inaniumaaa ila shetan kanikamataa
Hawa jamaa ni wauza magari used from Japan na kila mwaka huwa wanatoa magari matatu kwa atakayebahatika kama njia ya promotion ya biashara yao hata BEFOWARD nao wanafanya hivyo, wao lkn kila mwezi wanatoa GARI moja, kwa maelezo zaidi ukiingia kwenye hii link utakuta kila kitu Grand Giveaway 2017Hakuna mtu atakayekupa gari ya bure mkuu. Wenyewe wanapataje pesa? Wanauza hizo info au inakuwaje?
View attachment 564375twendeni mazoezini
Investors hao walikuwa wamezoea kutolipa kodi hao na kuigeuza nchi yetu shamba la bibi. Mbona huko kwao ukicheza na kodi zao wanakufunga mara moja. Nyakati zimebadilika na watazoea tu au basi wakatafute mahali pengine pa kunyonya...One of the most beautiful cities in the World, but we need proper INFRASTRUCTURE ASAP we need good administration that respect the law of the land and its people. Otherwise all investors will find a better place to lay their eggs.
Hivi karibuni nilikuwa naongea na mama mmoja maarufu sana jijini Dar jina kapuni. Akaniambia wateja wake wengi sana ambao walikuwa wanamlipa kwa $ wameingia mitini (wameondoka nchini) katika miezi 12 iliyopita baada ya kuwa na wasi wasi na new administration, na biashara yake ambayo hakutegemea hata siku moja iyumbe sasa inayumba. Something must be done very soon to change the direction of our beloved country before it is too late.
AMUN RA
Wapinzani wa Afrika wana shida sana....The face of defeat
Kwa nini ukoseKweli na mimi nitapata like?
Huu ushauri mzuri ila hio ya kusalimia wagonjwa hata nisio wafahamu kwa uswahili wetu huu ntaonekana mwanga tu bora kwenda jumuiya,jumuiya zetu ni jumapili jioniNa unamwachia tu hivyo kirahisi? Pambana naye hapo hapo nyumbanisoma neno na kusali kisha jioni jioni nenda katika hospitali iliyo karibu hapo ukasalimie na kufariji wagonjwa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mapenzi ya kisela
Kweli kabisaInvestors hao walikuwa wamezoea kutolipa kodi hao na kuigeuza nchi yetu shamba la bibi. Mbona huko kwao ukicheza na kodi zao wanakufunga mara moja. Nyakati zimebadilika na watazoea tu au basi wakatafute mahali pengine pa kunyonya...
Muulize andjul na mkewe[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Du yakoje hayo