Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huu ushauri mzuri ila hio ya kusalimia wagonjwa hata nisio wafahamu kwa uswahili wetu huu ntaonekana mwanga tu bora kwenda jumuiya,jumuiya zetu ni jumapili jioni
Aisee. Mimi huwa nakwenda tu mahospitalini huko na sijawahi kupata ishu yo yote. Pengine kuwa mwanaume nako kunasaidia. Jamii yetu na imani za kishirikina duh !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…