Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

View attachment 565309
Ndege anayeogopewa na makabila karibu yote ya kanda ya ziwa! Sina uhakika na makabila mengine!
Hata Ukerewe? Nyie huko nilifikiri ni mamba tu? Unakwenda ziwani mjusi anakufuata njiani mkifika ziwani anageuka mamba na kukugeuza msosi. Kuna kisa kama hiki katika riwaya ya Gabriel Ruhumbika ya Janga Sugu la Wazawa.
 
Hahaa... Hizo hadithi tu bhana! Mjusi kugeuka mamba, nah! Ni sawa na Wasukuma kuwafanya fisi farasi wao wakati wa usiku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…