Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mimi salama kabisa shemeji. Tupo na akina Cole na Jakitoo hapa tunakula likes tu bila wasiwasi...Am good nashukuru Mungu ni mambo tu ya hapa na pale naingia kwa kuvizia....naimani u mzima pia
Me more nimekutafuta wee mpaka nikaanza parables but am happiest man baada ya kukuona.I missed you
Bado bado dia.... Thank youSafi tu...waendeleaje na mafua yako?...upone upesi
Nzuri carbaHabarini za mchana wananchi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah..mwanafunzi yupo sahihi
View attachment 566792
Mkuu...Pole pole...He who hates his neighbour is a murderer
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]He who boasts to love God but hates his neighbour is a goddamn liar
Nzuri carbaHabarini za mchana wananchi
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] You da best frendi evaaaaa !!!Namwimbia yule Shimba ya buyenze.... Flu zipo napambana nazo kisawasawa