Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Single handedly kageuza elimu yetu na kuwa ya kukariri...Nyambari nyangwine
Kula like yako kwa kuniburudishaHouse girl mmoja alipewa kazi na mzungu mara akavunja sahan. Mzungu aliporejea kutoka kazin akamuuliza 'what happened to my plate?, house girl akajibu: the dog wow wow friji paaa, mchuz mwaaaa the vyombo pangalapangala the sahan ngelengenjee.....the pasuka paaaaaa, hadi saiz mzungu bado anasoma dictionary
Wameshaichomelea chomelea na alfajiri itaruka to mwanzaMbovu